Friday, January 2, 2009

WAANDISHI WA HABARI WA KAGERA KWENYE SEMINA

Tunawashkuru viongozi wa MCT kwa semina hiyo iliyohusu masula ya jinsia na vyombo vya habari ambayo iliwashirikisha waandishi wa Habari zaidi ya 15 kutoka Kagera Press Club.
Kutoka kushoto no Method Kalikila,Gilbert Makwabe,John Rwekanika,Fr Processus Mutungi,Lilian Lugakingira na Angela Sebastian.

No comments:

Post a Comment